Friday, February 29, 2008

Bunge la Tanzania

Mwezi huu wa Februari, Bunge la Tanzania lilileta matumaini mapya kwa wengi miongoni mwa Watanzania. Katika Bunge hilo, Waziri Mkuu Edward Lowassa alijiuzulu, na baraza jipya la Mawaziri kuundwa.  Wakati wakiapishwa kushika nyadhifa zao, Waheshimiwa Mawaziri hao walionekana wakila kiapo cha “kuitetea, kuilinda na kuihifadhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa Sheria”. Lakini suala la Tanzania kuwemo kwenye Jumuia ya Afrika Mashariki ni ukiukwaji wa moja kwa moja wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa Sheria.
Share and Enjoy:
  • del.icio.us
  • Facebook
  • Live
  • Twitter
Posted by Mlenge in 06:23:11
Comments

Leave a Reply