Wameshinda.
Kesho (Novemba 20 2009) mkataba wa “Soko la Pamoja” utasainiwa. Mkataba huo kikweli ndio shirikisho lenyewe la Afrika Mashariki. Kwa sisi wananchi tusio na madaraka ambao hatuoni mantiki ya Tanzania kujidumbukiza humo, lipi la zaidi tunaloweza kufanya? Binafsi ‘natundika daluga’ — wameshashinda — si salama tena kuzungumzia zaidi suala hili.